logo
MLIMANI SDA

  • JANUARI

    TAREHE TUKIO
    6 Sabato Ya Kufunga Na Kuomba (Robo Ya Kwanza)
    10 - 20 Siku Kumi Za Kufunga Na Kuomba
    13 Siku Ya Idara Ya Afya
    20 Sabato Ya Uhuru Wa Dini

  • TAREHE TUKIO
    3 Sabato Ya Kuufikia Ulimwengu
    10 - 17 Juma La Familia Na Nyumba Ya Kikristo

  • TAREHE TUKIO
    3 Sabato Ya Maombi Ya Wanawake Duniani
    9 Sabato Ya Radio Ya AWR
    16** Sabato Ya Watoto Duniani
    16 Sabato Ya Matendo Ya Huruma
    16 - 23 Juma La Maombi La Vijana
    23 Sabato La Elimu Ya Kikiristo

  • TAREHE TUKIO
    6 Sabato ya Kufunga na Kuomba (Robo ya Pili)
    13 Ugawaji Kitabu cha Pambano Kuu
    13 Sabato ya Wageni na Siku ya Hope Channel Ulimwenguni
    13 - 19 Rale ya Wainjilisti wa Vitabu
    20 Sabato ya Watu Wenye Mahitaji Maalumu (Huduma Wezeshi)

  • TAREHE TUKIO
    4 Kuufikia Ulimwengu kwa njia ya Vyombo vya Habari
    11 Sabato ya kuufikia Ulimwengu Katika Jamii
    18 Siku ya Wavumbuzi (AC) Ulimwenguni
    25 Sabato ya Maombi ya Watoto Wanaoishi Mazingira Magumu

  • TAREHE TUKIO
    1 Siku ya Kuufikia Ulimwengu Kupitia Idara ya Shule ya Sabato
    8 Sabato ya Msisitizo wa Idara ya Huduma za Wanawake
    15 Sabato ya Kuwarudisha Walioridi Nyuma na Kuwatunza
    15 Siku ya Kiadventista ya Kanisa ya Wakimbizi
    22 (PCM) Siku ya Huduma za Kiulimwengu Vyuoni

  • TAREHE TUKIO
    6 Sabato ya Kufunga na Kuomba (Robo ya Tatu)
    13 Siku ya Utume Ulimwenguni
    20 Sabato ya Kuufikia Ulimwengu Kupitia Vyombo vya Habari
    27 Sabato ya Watoto Ulimwenguni

  • TAREHE TUKIO
    3 Siku ya Utume na Uinjilisti Kiulimwengu
    10 Upangaji wa Makanisa
    17 Makambi Mlimani
    17 Sabato ya Elimu
    24 Wainjilisti Walei

  • TAREHE TUKIO
    1 - 7 Juma la Maombi ya Pamoja la Familia
    7 Sabato ya Maombi ya Familia ya Pamoja
    7 Vijana Kujitoa Kiroho
    14 Uhamasishaji wa utumiaji wa Fursa Katika Utume
    21 Siku ya Watfuta Njia Ulimwenguni
    28 Sabato ya Watoto Kiulimwengu

  • TAREHE TUKIO
    5 Sabato ya Kufunga na Kuomba (Robo ya Nne)
    12 Sabato ya Kufunga na Kuomba
    19 Siku ya Roho ya Unabii na Urithi wa Kanisa
    26 Sabato ya Uumbaji

  • TAREHE TUKIO
    2 - 9 Juma la Maombi
    9 - 15 Juma la Maombi la Vijana
    16 Siku ya Watoto Yatima na Wanaoishi Mazingira Hatarishi

  • TAREHE TUKIO
    30 - 7 Juma la Maombi la Uwakili
    7 Sabato ya Kuhitimisha juma la Uwakili na Kutoa Sadaka
    14 Juma la Uamsho la Afya